Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni dawa gani mzr ya acid ? Maana nimetumia zaid ya 15 zinafika sasa lkn bado asidi inanisumbua tumboni na inabada mpka juu kwenye mdomo.
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
267 Reactions
164K Replies
5M Views
Ndugu zangu Watanzania, Inasikitisha sana,ni aibu kubwa ,inafedhehesha,inaleta maswali mengi sana juu ya umakini na akili za chama hiki cha CHADEMA. Hii ni baada ya kusikika kwa taarifa kuwa...
0 Reactions
14 Replies
285 Views
Mke anabwabwaja tu toka asubuhi mpaka jioni. Imebidi niwe mlevi bila kupenda
1 Reactions
7 Replies
43 Views
Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewaagiza Takukuru kumkamata DED wa Arusha na Watendaji wake wanaotuhumiwa kufisadi tsh 19 million za mwekezaji wa sekta ya Utalij Chamburo Aidha RC...
16 Reactions
76 Replies
3K Views
Wakuu nina swali?? LEO KATIKA PITA PITA ZANGU Nimekutana mtandao (Whatsapp status) na dogo mmoja tulikutana ofice moja hapa jijini wakat nasajili campuni yetu.Kwakua yeye alikua very educated...
6 Reactions
23 Replies
285 Views
Wakati nipo Ocean Road nikiwa TZ , nimefanya kazi na products mbalimbali kutoka vyuo tofauti, wapo wanafunzi kama intern wakiwa madaktari ambao we were training them, wengine wafamasia au nurses...
8 Reactions
72 Replies
773 Views
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu. NB: Depo ya...
9 Reactions
265 Replies
31K Views
Tutazuia hadi lini? Ni makala fupi kwa njia ya video kama inavyoletwa kwako na Mwandishi na Mwahabari nguli Ansbert Ngurumo aishiye uhamishoni Uingereza.. Ni kuhusu muungano wa Tanganyika na...
2 Reactions
4 Replies
64 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,002
Posts
49,648,042
Back
Top Bottom