Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

*Unalalamika kama Yeye *Unaongea sana kama Yeye *Unaongozwa na hisia kama Yeye *Una wivu sana kama Yeye *Huna misimamo kama Yeye *Una matiti na kitambi kama Yeye
4 Reactions
5 Replies
106 Views
Jamiiforum ikigeuzwa ya mizaa mda sio mrefu itapuuzwa kuna social media nyingi sana zilivamiwa na watu wa mizaa soon zikapuuzwa hata jamiiforum ndo inapoelekea kuwa kijiwe cha watoto mfano kwa...
9 Reactions
68 Replies
532 Views
Nadhani kila Mkoa nchini Tanzania una alama yake au kitu fulani maarufu sana kinachutambulisha Mkoa bila hata kuambiwa ukiona unajua tu hii kitu ya mkoa fulani. Twende kazi wadau, nini...
3 Reactions
40 Replies
262 Views
Ukiniuliza kiongozi gani unampenda mimi bila ya kupepesya macho nitakutajia Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Swali; Kwanini unampenda Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais...
0 Reactions
8 Replies
110 Views
1. Dk. Ben Carson alisema, "Nilitatizika kimasomo katika shule yote ya msingi lakini nikawa daktari bingwa wa upasuaji wa neva duniani mwaka wa 1987." SOMO: Kupambana ni ishara kwamba uko kwenye...
8 Reactions
23 Replies
202 Views
Habari za mda huu waungwana, nahitaji msaada wenu wa jinsi ya kupata hati ya kiwanja kwa haraka nitumie mbinu ipi kwa mliobahatika kupata ama kwa watalaamu mliopo humu upande ardhi nahitaji...
0 Reactions
4 Replies
10 Views
wakuu habari za uzima? Mimi na mke wangu niseme watu tunaopenda sana kusoma vitabu, sasahivi tuna mtoto mmoja handsome boy linanipa faraja sana na kunifanya niendelee kupambana. Niseme katika...
23 Reactions
218 Replies
26K Views
Wakuu, baada ya taharuki iliyotokea kuhusu Serikali kutoa idhini ya kuhesabiwa kwa Wanafunzi na Walimu waislamu Mashuleni naona imetoa zuio kwa kibali hicho. Hadi sasa bado haijajulikana kwanini...
0 Reactions
24 Replies
407 Views
Ameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Mh Chalamila alipofanya ziara wilayani hapo. Mheshimiwa Chalamila ameahidi kukutana na Mkuu wa Majeshi. Hii imekaaje wadau maana naona kiongozi wa Serikali...
10 Reactions
95 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,537
Posts
49,634,143
Back
Top Bottom